Showing posts with label offer. Show all posts
Showing posts with label offer. Show all posts

Saturday, September 10, 2016

Skuvi ltd promo fliers

Tuesday, May 27, 2014

offer

welcome we also work online please contact numbers on down strip for more information
you are welcome!


Thursday, September 26, 2013

New Offer

welcome we also work online please contact numbers on down strip for more information
you are welcome!

welcome we also work online please contact numbers on down strip for more information
you are welcome!

Sunday, September 22, 2013

Branding Tena

Karibu Legacy Impresion Company ujipatie Kifurushi kilichosheni dizaini za biashara yako uendane na soko la biashara yako karibu sasa ujipatie kifurushi hiki cha Basic ambacho kitakupatia kila dizaini kwa bei ya elfu ishirini ( 20,000) kikiwa kimejumuisha dizaini kumi na nyongeza moja
karibu ufanye kazi makini na watu makini, biashara yako inajengwa na muonekano wake karibu


Sunday, August 18, 2013

Kifurushi

karibu sasa ujipatie kifurushi chako kuna punguzo la bei kwa wateja 10 wa mwanzo
tunafanya huduma hii hata kwa walioko nje ya Dar es salaam
wasiliana nasi sasa ujipatie kifurushi chako


Friday, August 2, 2013

Branding package

Branding package ni kifurushi cha dizaini tofauti za printing ambazo unatengenezewa mahususi kwa ajili ya biashara yako
watu wengi wanaishia kutengeneza nembo (logo) na business card kwa kuhisi kuwa hivyo ndivyo vya muhimu kuliko vingine lakini ili biashara yako ikamilike unahitaji kufanya branding ya vitu vingi na baadhi ya sababu za kukufanya utumie package hii ni

1. Inapunguza gharama kwa kutengeneza vitu vyote kwa pamoja
2. Inapunguza kwa kiasi kikubwa uwezekano wa kufanyiwa
3. Inasimamia muonekano wake wa mwanzo sababu itakuwa imetengenezwa na mtu au sehemu moja hivyo haitabadilika
vitu kama rangi umbo hata dizaini yenyewe.
4. Huongeza ubora wa biashara na
5. hutoa maana ya biashara yako kupitia muonekano wako.


Legacy impresion company ndiyo kampuni pekee inayotoa huduma hii kwa kiwango cha hali ya juu kwa bei ya chini karibu sasa ujipatie Branding package ya biashara yako, zipo katika aina tatu basic branding ( office), promotion branding na premium branding.

mfano wa Basic ni kama (Logo,Business card,letterhead,Id,banner,receipt,Petty cash,delivery,proforma and invoice

Click image for larger version. 

Name: branding package 2.jpg 
Views: 0 
Size: 1.07 MB 
ID: 105305

Tuesday, July 2, 2013

Branding Seminar

Have you ask yourself why other competitor success over you? have you ever try to reach your goals in planned time? have you ever think of Branding your business?

Now the secret is out, we have made a book for you
email us and you will have it within a minute for only  Tshs. 10,000
Email: info@legacytz.com



Umeshawahi kujiuliza kwanini washindani wako wanafanikiwa kukuzidi? umeshawahi kujaribu kufukia malengo yako kwa mua ulioupanga? umeshawahi kufikiria Kubrand biashara yako?

Sasa siri imefichuka ,tumekutengenezea kitabu kwa ajili yako tutumie email na utakipata ndani ya dakika kwa kiasi cha shilingi 10,000/= tu
tuma email kwenda
email:info@legacytz.com

Wednesday, June 12, 2013

SABA SABA OFFER


Welcome to our latest offer special for month Jully and june ,this offer will be from 12 june 2013 up to 12 jully 2013.

Legacy Impresion Company 
"Number one in town"

basic branding package

Basic Branding package its a special package for office needs, this means it is a package that contain design of artworks that are basic needed in the office



Tuesday, June 11, 2013

Branding package



Welcome to our new Graphic package that suits your needs depend and your budget
choose the one that satisfy your place and contact us