Friday, September 8, 2017
Jinsi ya kujitangaza kwenye mitandao
Friday, August 11, 2017
Friday, June 10, 2016
Muonekano wa biashara yako na matokeo yake.
Muonekano wa biashara yako na matokeo yake.
Hali ya mzunguko na mfumo wa biashara imebadilika sana hapa nchini na hii imechangiwa na kuongezeka kwa makampuni ya kigeni ambayo yamekuwa yakiongeza chachu ya kuendelea kufanya zaidi ya pale wazawa wanapofanya, na tofauti kubwa ambayo inafanya kampuni nyingi na biashara nyingi za nje kufanikiwa ni Branding, asilimia kubwa ya hizo kampuni huingia nchini tayari zikiwa zimeshajibrand hivyo inakuwa rahisi kupata nafasi katika soko la ndani.
Kinyume cha hapo asilimia kubwa ya biashara au kampuni zetu wazawa hazijafanya Branding ambayo ndio uti wa mgongo wa biashara, matokeo yake imekuwa hatuwezi kuuza ndani sababu hazina muonekano mzuri na hatuwezi kuuza nje sababu pia hazijafanyiwa branding nzuri.
Baada ya serikali kuiona changamoto hiyo ikaanza kusisitiza wafanyabiashara kufanya branding vizuri( kuboresha utengenezaji na upakiaji wa bidhaa uwe mzuri na wa kuvutia ili bidhaa zetu zipate nafasi hata katika soko la nje kwa wingi).
Hivyo mabadiliko hayo yameathiri pia na soko la ndani, kwa vile tunaagiza vitu vingi kutoka nje, vile vinavyotengenezwa ndani vikiwa havijabrandiwa vinakosa soko katika eneo lake la ushindani, watu sasa wananunua brand sio bidhaa ukiwaaminisha bidhaa yako ni bora na akaikuta bidhaa yako ni bora basi utakuwa umempata huyo mteja, Je umejibrand vyema kiasi cha kupata nafasi katika eneo lako la ushindani? una nafasi katika soko lako?
Kama bado Karibu Legacy sasa tukubrand kulingana na biashara na eneo lako la ushindani, njoo tukutengenezee stika/lebo kwa ajili ya bidhaa zako ili ujitambulishe vyema,tukutengenezee utambulisho ( nembo) ambayo itakuwalisha kwenye kila bidhaa yako, tukutengenezee vipeperushi muda wa kuandika maelezo marefu ya bidhaa yako umekwisha iweke kwenye dizaini nzuri na watu wataisoma.Karibu sasa ufanye kazi na watu wanaotambua umuhimu wa biashara yako kwa mteja wako.
Karibu msimu huu wa Ramadhan kuna punguzo kubwa katika bidhaa zetu, maendeleo yako ndio kazi yetu.
Tunahusika na shughuli za Printing, Graphics design, Webtech na Stationeries.Mawasiliano 0713 603699.
Friday, December 11, 2015
Receipt Printing

Monday, March 16, 2015
OFA YA PASAKA 1
KARIBU OFA KIBAO MSIMU HUU WA PASAKA !!
Thursday, September 26, 2013
New Offer
you are welcome!
you are welcome!
Sunday, September 22, 2013
Branding Tena
karibu ufanye kazi makini na watu makini, biashara yako inajengwa na muonekano wake karibu
Friday, August 2, 2013
Branding package
watu wengi wanaishia kutengeneza nembo (logo) na business card kwa kuhisi kuwa hivyo ndivyo vya muhimu kuliko vingine lakini ili biashara yako ikamilike unahitaji kufanya branding ya vitu vingi na baadhi ya sababu za kukufanya utumie package hii ni
1. Inapunguza gharama kwa kutengeneza vitu vyote kwa pamoja
2. Inapunguza kwa kiasi kikubwa uwezekano wa kufanyiwa
3. Inasimamia muonekano wake wa mwanzo sababu itakuwa imetengenezwa na mtu au sehemu moja hivyo haitabadilika
vitu kama rangi umbo hata dizaini yenyewe.
4. Huongeza ubora wa biashara na
5. hutoa maana ya biashara yako kupitia muonekano wako.
Legacy impresion company ndiyo kampuni pekee inayotoa huduma hii kwa kiwango cha hali ya juu kwa bei ya chini karibu sasa ujipatie Branding package ya biashara yako, zipo katika aina tatu basic branding ( office), promotion branding na premium branding.
mfano wa Basic ni kama (Logo,Business card,letterhead,Id,banner,receipt,Petty cash,delivery,proforma and invoice
Tuesday, July 9, 2013
Siri za kushinda katika biashara kupitia Branding
ndani yake utapata muongozo wa jinsi na namna ya kujibrand kuanzia
maana ya Brand hadi jinsi ya kuanza kujibrand.
Jinsi ya kulipia ili ukipate kwa njia ya email ni tuma kiasi cha shilingi 10,000
kwenda namba 0713 603 699,baada ya hapo tuma jina lako na email yako kwa
njia ya meseji (sms) na utapokea ndani ya muda mfupi.
Vipengele vilivyomo ni pamoja na
Maana ya Branding
Kazi za Branding
Aina za Branding na
Vitu vinavyotengeneza Brand yenye afya.
Tuesday, July 2, 2013
Branding Seminar
Now the secret is out, we have made a book for you
email us and you will have it within a minute for only Tshs. 10,000
Email: info@legacytz.com
Umeshawahi kujiuliza kwanini washindani wako wanafanikiwa kukuzidi? umeshawahi kujaribu kufukia malengo yako kwa mua ulioupanga? umeshawahi kufikiria Kubrand biashara yako?
Sasa siri imefichuka ,tumekutengenezea kitabu kwa ajili yako tutumie email na utakipata ndani ya dakika kwa kiasi cha shilingi 10,000/= tu
tuma email kwenda
email:info@legacytz.com
Thursday, June 20, 2013
Branding Seminar
Friday, June 14, 2013
branding questions
- Brand ni nini?
- Kazi za Brand.
- Kwanini ufanye brand
- Faida gani unayoipata ukibrand
- Hasara za kutokubrand
- Mifano ya Brand zilizofanikiwa
- Steps entertainment (usambazaji muvi)
- Msama promotion (matamasha- dini)
- Cocacola(Vinywaji)
- Kilimanjaro(Maji ya kunywa)
- Mifano Brand zilizofeli
- General tyre
- TOL
- Tanganyika peackers
- NICO
- Brand inasimamiwa na vitu gani?
- Nembo
- Brand
- Utambulisho
- Mgawanyiko wa Brand
- Brand ya mtu
- Brand ya Kampuni/mfumo
- Brand ya Bidhaa
- Brand ya Alama
- Nianze kufanya nini?
- Tofauti kati ya kampuni na Brand
- Tofauti kati ya elimu ya ujasiriamali na branding






















