Thursday, June 20, 2013

Branding Seminar


Habari

Karibu Legacy Impresion Company upate huduma ya Branding kwa bei
Nafuu msimu huu wa sabasaba kwa punguzo la bei

Branding ni elimu itolewayo kwa mtu, kampuni au taasisi kwa ajili ya
Kutengeneza,kutambua na kuongeza mauzo ya sehemu husika.Kupanda
Au kushuka kwa mauzo sio sababu ya masoko ni Branding ndiyo
 inayosababisha karibu upate elimu ambayo itakuonyesha na kukuongeza
Kwenye biashara yako.

Branding inasimamiwa na nguzo kuu nne ambazo zinatakiwa zitumike
Sambamba ndio mafanikio huonekana kama unavyofikiria na nguzo hizo
Ni Alama, Bidhaa, Mtu na Mfumo.Legacy imejikita  zaidi kwenye alama
Ambayo ni nguzo ya kwanza na muhimu inayobeba zote.

Kampuni imetoa pia alama hizo katika vifurushi kutegemea uwezo wa
Mtumiaji  kwa wakati husika,kifurushi cha kwanza kinaitwa "Basic" hiki
Ni kwa ajili ya ofisi kwa maana ya vifaa na kifurushi kingine ni "Promotion"
Hiki ni kwa ajili ya kufanyia promosheni na kutafutia masoko na kifurushi
Cha mwisho ni "Premium" hiki ni kifurushi ambacho kinajumuisha vyote
Viwili hapo juu kikiwa na nyongeza ya kufanyiwa utafiti wa soko la
Bidhaa yako na kupewa mbinu chanya.

Kutokana na kutambua umuhimu wa wateja kutambua elimu hii ndio
Maana kampuni pia imetoa punguzo kwa kipindi hiki cha  msimu wa
Sabasaba kwa atakae pata elimu hii, tnashauri ni bora uipate elimu hii
Sasa itakusaidia kutambua unatakiwa ufaye nini ili biashara yako ikue
Na iwe kama unavyofikiria.

Karibu sasa bei zetu ni nafuu kabisa ukilinganisha na huduma tunayotoa

Pia kutokana na kutambua uepo wa wateja kutoka nje ya nchi na mkoa
Hivyo pia tunafanya kazi online,ili kupata huduma hii tafadhali tumia
Mawasiliano hapo chini.

Kwa mawasiliano na maelekezo tafadhali tumia njia zifuatazo
Simu: 0713 603 699/0767 603 699
Email: info@legacytz.com
Web: www. Legacytz.com
Blog: legacycompany@blogspot.com

No comments:

Post a Comment