Legacy Impresion Company
Located: Plot no 428, Block 44, Kijitonyama
P.O.BOX 12800, DAR ES SALAAM, TANZANIA
Email: info@legacytz.com
Web: www.legacytz.com
blog:legacycompany.blogspot.com
We de:
Graphic design of all manner
Printing large and small
Web tech implementation and creation
Brand consultant on company/individual brand
We are able to work online and our prices are reasonable
YOUR MOSTLY WELCOME
legacy " NUMBER ONE IN TOWN"
Monday, June 24, 2013
Thursday, June 20, 2013
Branding Seminar
Habari
Karibu Legacy
Impresion Company upate huduma ya Branding kwa bei
Nafuu msimu huu wa
sabasaba kwa punguzo la bei
Branding ni elimu
itolewayo kwa mtu, kampuni au taasisi kwa ajili ya
Kutengeneza,kutambua
na kuongeza mauzo ya sehemu husika.Kupanda
Au kushuka kwa mauzo
sio sababu ya masoko ni Branding ndiyo
inayosababisha karibu upate elimu ambayo
itakuonyesha na kukuongeza
Kwenye biashara
yako.
Branding inasimamiwa
na nguzo kuu nne ambazo zinatakiwa zitumike
Sambamba ndio
mafanikio huonekana kama unavyofikiria na nguzo hizo
Ni Alama, Bidhaa,
Mtu na Mfumo.Legacy imejikita zaidi
kwenye alama
Ambayo ni nguzo ya
kwanza na muhimu inayobeba zote.
Kampuni imetoa pia
alama hizo katika vifurushi kutegemea uwezo wa
Mtumiaji kwa wakati husika,kifurushi cha kwanza
kinaitwa "Basic" hiki
Ni kwa ajili ya
ofisi kwa maana ya vifaa na kifurushi kingine ni "Promotion"
Hiki ni kwa ajili ya
kufanyia promosheni na kutafutia masoko na kifurushi
Cha mwisho ni
"Premium" hiki ni kifurushi ambacho kinajumuisha vyote
Viwili hapo juu
kikiwa na nyongeza ya kufanyiwa utafiti wa soko la
Bidhaa yako na
kupewa mbinu chanya.
Kutokana na kutambua
umuhimu wa wateja kutambua elimu hii ndio
Maana kampuni pia
imetoa punguzo kwa kipindi hiki cha
msimu wa
Sabasaba kwa atakae
pata elimu hii, tnashauri ni bora uipate elimu hii
Sasa itakusaidia
kutambua unatakiwa ufaye nini ili biashara yako ikue
Na iwe kama
unavyofikiria.
Karibu sasa bei zetu
ni nafuu kabisa ukilinganisha na huduma tunayotoa
Pia kutokana na
kutambua uepo wa wateja kutoka nje ya nchi na mkoa
Hivyo pia tunafanya
kazi online,ili kupata huduma hii tafadhali tumia
Mawasiliano hapo
chini.
Kwa mawasiliano na
maelekezo tafadhali tumia njia zifuatazo
Simu: 0713 603
699/0767 603 699
Email:
info@legacytz.com
Web: www.
Legacytz.com
Blog:
legacycompany@blogspot.com
Tuesday, June 18, 2013
Monday, June 17, 2013
Friday, June 14, 2013
branding questions
- Brand ni nini?
Ans: Brand
ni rasilimali inayotokana na ahadi ambayo inaunganishwa na bidhaa kwa wateja
wake.
- Kazi za Brand.
Brand hutambulisha muonekano
,ubora wa kuaminika kwa watu, huku
bidhaa za generic (kawaida)
hazijulikani na haziaminiki ,hata
hivyo brand ni ghali na inahitaji mipango ya muda mrefu
Brand hutofautisha bidhaa na hufanya bidhaa kutambulika mapema
Brand inaruhusu mtumiaji kutengeneza maamuzi na matumizi ya bidhaa
Brand hutengeneza thamani halisi kwenye macho ya washirika wa
kibiashara na hupenyeza thamani ndani ya macho ya mtumiaji
Branding hutengeneza trademark ambayo huongeza thamani ya bidhaa.
- Kwanini ufanye brand
Unafanya
brand kwa sababu unataka kutambulika na kuongeza mauzo
- Faida gani unayoipata ukibrand
Brand
hukutambulisha,Brand hukutofautisha, brand hutengeneza thamani, Brand
hukutengenezea tredemark
- Hasara za kutokubrand
Hautajulikana
kwenye soko,mauzo yako hayataongezeka,hautapata nafasi kwnye ushindani
- Mifano ya Brand zilizofanikiwa
- Steps entertainment (usambazaji muvi)
- Msama promotion (matamasha- dini)
- Cocacola(Vinywaji)
- Kilimanjaro(Maji ya kunywa)
- Mifano Brand zilizofeli
- General tyre
- TOL
- Tanganyika peackers
- NICO
- Brand inasimamiwa na vitu gani?
- Nembo
- Brand
- Utambulisho
- Mgawanyiko wa Brand
- Brand ya mtu
- Brand ya Kampuni/mfumo
- Brand ya Bidhaa
- Brand ya Alama
- Nianze kufanya nini?
Tengeneza Alama , halafu jibrand uje utengeneze mfumo then bidhaa
- Tofauti kati ya kampuni na Brand
Kampuni ni jina la
wamiliki wa Brand
Na Brand ni ahadi unayotaka kuiweka kwa wateja wako, (
ahadi ya mmiliki kwa mteja)
Kutafuta Masoko - ni
kujenga brand kwenye akili ya mteja unaemtegemea
- Tofauti kati ya elimu ya ujasiriamali na branding
Elimu ya ujasiriamali-
ni elimu inayotolewa kwa ajili ya kukutengenezea njia za kujiajiri na
kujiongezea mapato.
Elimu ya Branding - Ni
elimu ya kujua jinsi ya kuongeza mapato na kujulikana kwenye kipengele
chako cha ushindani
Branding
Legacy
impresion company its a legal company located at Kijitonyama, Dar es
salaam dealing with Graphic design,Printing, Webtech and Stationeries,
We are now introducing our new firm in the market called Branding, This
is well designed package of graphic artworks combined for your
company.Branding its categorized in three packages Basic, Promotion and
Premium, for more information about this project look at the attached
fliers our prices are reasonable and negotiable for more information and
purchasing your order please contact the address below.
Also
due to the demand of time quality and efficient now we work online if
ypu want to do business with us online please contact the address
attached and we allow contract work and credit payment .
As introduced before Legacy also do printing work of all materials that
means large print and small print, we sell stationeries and we deliver
on your door as soon as the purchase made.
Dont waste your time
to leave the office now you can contact Legacy online and you can
purchase with your credit agreement then product will reach where you
are.
Thursday, June 13, 2013
Work online with us
Legacy Impresion Company welcomes all client who wants to do business with us through network you do not need to leave your chair ,just contact we will give you the instruction on how you can work with us and we will do your work in short time to make sure we do not make you waste your time and also you have to see the difference,
You can do business online with us on the category of designing we will do best design and you will appreciate them, we are professionals on making graphics look like the way it needed to be .
Our procedure are simple and easy to follow please contact the address below for more information working online it is the right decision for you now.
email: info@legacytz.com Phone: +255 713 603 969
Web: www.legacytz.com Facebook page: legacy impresion company
You can do business online with us on the category of designing we will do best design and you will appreciate them, we are professionals on making graphics look like the way it needed to be .
Our procedure are simple and easy to follow please contact the address below for more information working online it is the right decision for you now.
email: info@legacytz.com Phone: +255 713 603 969
Web: www.legacytz.com Facebook page: legacy impresion company
Wednesday, June 12, 2013
SABA SABA OFFER
Welcome to our latest offer special for month Jully and june ,this offer will be from 12 june 2013 up to 12 jully 2013.
Legacy Impresion Company
"Number one in town"
basic branding package
Basic Branding package its a special package for office needs, this means it is a package that contain design of artworks that are basic needed in the office
Tuesday, June 11, 2013
Branding package
choose the one that satisfy your place and contact us
Mission and Vision
Our mission
Legacy Impresion Company is a legal registered company that dedicated in giving out the best of our services that you have never exprienced. We aimed to deliver to our client quality products to the delight, we are skilled in customer care and we will be glad to help you meet your satisfaction.
Our Vision
We aimed to become a leading Brand in East Africa and beyond.
Our area of business are
Graphic Design
Printing
Website technology
Brand Consulting
Stationeries
Legacy Impresion Company is a legal registered company that dedicated in giving out the best of our services that you have never exprienced. We aimed to deliver to our client quality products to the delight, we are skilled in customer care and we will be glad to help you meet your satisfaction.
Our Vision
We aimed to become a leading Brand in East Africa and beyond.
Our area of business are
Graphic Design
Printing
Website technology
Brand Consulting
Stationeries
Company logo and meaning
Legacy Impresion Company it is represented with the sign of human footprint
The meaning of this footprint is when we do work with any client our work will look like a mark on their company/organization/or any sector that means whenever we do we leave our mark like when you work with your feet on sand.
The meaning of this footprint is when we do work with any client our work will look like a mark on their company/organization/or any sector that means whenever we do we leave our mark like when you work with your feet on sand.
Subscribe to:
Posts (Atom)