Friday, September 8, 2017

Jinsi ya kujitangaza kwenye mitandao


Wengi tunatangaza biashara zetu kwenye mitandao ya kijamii lakini Je unapokea wateja uliowategemea? Unapokea wateja sawa na gharama unazotumia kujitangaza?

Wengi tumejisahau tumeegemea sehemu moja kujali zaidi maneno kuliko picha, katika mitandao ya kijamii 67% ya watumiaji hupenda picha kuliko hata maelezo yake,Je picha zako zikoje? Wengi wetu tunapiga picha kwa simu zetu na tunaedit kwa kuweka namba na kupandisha kisha tunasema tangazo, lakini unategemea tangazo hilo likulipe zaidi ya ulichokifanya?

Unaweza kukaa muda mrefu na kutafuta mchawi nani kumbe hakuna kitu ni makosa madogo madogo yanayotokea muda mwingine kwa kutambua ama kutokutambua.

Karibu leo Legacy tukutengenezee muonekano thabiti kwa kukudizainia matangazo ya online na kisha kukupostia kwenye mitandao ya kijamii,sio kila muda ni wasaa  wa kupost tangazo unaweza kupost tangazo na umelipia muda ambao wateja wako wamelala.wasiliana nasi tukutengeneze na tukutangaze kwa wateja wako sahihi.


Mawasiliano 0713603699 instagram @legacycotz @onlineadd

No comments:

Post a Comment